Antipa Natural Therapies Centre ni kituo cha huduma ya tiba asili na tiba mbadala.Muone Dr.Kibona kwa ushauri

Mimea ya kuukaza na kuubana uke uliopanuka na kulegea
Zipo sababu kadha zinazoweza kulegeza uke wa mwanamke. Jambo litakalokuwa halimfurahishi mwanaume akiwa na mkewe katika tendo la ndoa. Uke unapoubana uume hufurahisha zaidi upande wa kiume na kumharakisha wa kike kufika kileleni. Sababu kama: kuzaa watoto wanene sana, kuzaa mara nyingi, humfanya mwanamke kuwa na uzazi uliolegea. TIBA ZAKE Malimao: Robo glasi ya juisi ya limao, ongez na maji kiasi hicho hicho, Nawia ukeni. Mbegu Za Embe: Ponda au saga mbegu za embe hadi ziwe uji laini. Chukua kijiko 1 cha chai cha uji huo, tia ndani ya uke, ˝ saa hadi saa, na kuosha dakika tano hadi kumi kabla ya kujamiana.. Uke utakuwa umerudi na kuwa kama mwanamke bikira. Mzambarau mbegu yake ikisagwa sana na kunywewa kwa kutumia maji yaliyochemshiwa mchele mara mbili kwa siku kwa juma zima na kuoshea ukeni.
Mimea ya maji mazito meupe ukeni (leucorrehea).
Baada ya mwili kufanya kazi yake, kuna vitu ama uchafu au sumu zinazopaswa kutokea nje, kupitia jasho, mkojo, hewa ya kupumua n.k. baadhi ya sumu hizi zikishindwa kutoka kwa njia hiyo hutokea kwa njia ya maji maji meupe ukeni. Huwa kero kwa mama. Wakati Fulani tatizo hili laweza kuandamana na maumivu ya mgongo, tumbo n.k.
TIBA ZAKE:
Sage: Tengeneza juisi ya sage uitumie glasi 2x2 kwa siku tatu. Ponda ponda mbegu za embe ziwe uji kama njia hiyo juu ya kulegea kwa uke. Mzambarau mbegu yake ikisagwa sana na kunywewa kwa kutumia maji yaliyochemshiwa mchele mara mbili kwa siku kwa juma zima.
Dozi: Kijiko 1 cha chai cha uji wa mbegu ya embe x 2 kwa siku kwa siku 7. Chemsha ˝ kilo majani ya mpera katika lita 2 za maji kwa dakika 20. ikipoa oshea uke x 3 kwa siku kwa siku 14 au wiki mbili. Chemsha ˝ kilo majani ya mwarobaini katika lita 2 za maji kwa dakika 15 tumia kuoshea uke x 2 kwa siku kwa siku 14 au wiki 2.
Mimea ya uzazi wa mpango
Ni kusudi la Mungu watoto wazaliwe kwa wakati unaofaa. Tiba hizi zimeonyesha mafanikio maeneo mengi, ingawa mwili wa binadamu hutofautiana katika upokeaji haraka wa dawa zinapoingia mwilini. Hivyo fuata maelekezo sahihi. Kalenda ni njia kuu aliyoiweka Mungu mwenyewe, hebu ifanye iwe ya muhimu maishani mwako. Pia hapa chini kuna baadhi ya njia za miche. MNANAA (MINT). Kausha majani ya mnanaa kivulini. Saga uwe unga laini tunza katika chupa safi funika.
Dozi: chota vijiko vikubwa viwili, koroga ndani ya maji moto glasi moja, ikipoa kunywa ˝ saa kabla ya tendo la ndoa. Tazama KARIBU EDEN vol 1 juu ya MNANAA. Saga mbegu ya embe iwe unga au uji, kisha tia ukeni kijiko cha chai ˝ saa tu kabla ya tendo la ndoa. Osha kabla tu ya tendo hilo. Baada ya kujamiiana weka tena kijiko 1 na kuosha baadaye. Tazama Karibu edeni vol 1 sura ya EMBE. Mafuta ya Mwarobaini ikiwa yatapakwa katika uzazi au uke kabla tu ya kuingiliana. Yanaaminika kuwa na uwezo wa kuzuia mbegu za kiume kwa asilimia 100 zisifanikishe makusudi yake. Pia kwa wale waitwao ma “ascetics” wasiotaka anasa au kuwakiana tamaa, wanakunywa ili kupunguza ashiki zao. “India imefanya utafiti wa hali ya juu sana juu mafuta haya katika sekta ya uzazi wa mpango kwa mafanikio. Yanaweza kutumiwa na wote wanaume na wanawake. Inaaminika pia kua ni kizuizi kizuri cha magonjwa ya zinaa yasimvukie mwingine.” (Upadhyay, Garg, Sharma, Bardham. Neem and Birth control. Retrieved August 4 2008)
Dozi: Kijiko 1 kikubwa (gramu 10) katika lita 1 ya maji moto. Kisha tumia kikombe kutwa mara 2 au nusu kikombe mara 3. Mdarasini: Ugumba/Utasa: Mwanamume atumie vijiko viwili vya mdalasini achanganye na asali katika mlo wa jioni. Mwanamke inaimarisha na kuhamasisha kizazi. Wanawake tasa kipimo hicho hicho kila siku kwa miezi michache utaona muujiza ukifanyika. Mti huu unaaminika kwa kuhamasisha uzazi. Ila unapotumika kabla ya kuanza kuona hedhi una tabia ya kuihahirisha hedhi kwa muda murefu. Tafuna au tumia unga wake kwa kukoleza sana kayika kikombe na kunywa kwa siku 30. Itaahirisha kipindi cha kuingia hedhini zaidi ya nusu mwaka hadi mwaka na nusu. Kalenda ni njia ya asili ya uzazi tokea zamani. Ni muhimu sana kila familia ikipata uelewa walau kidogo juu ya matumizi boro ya kalenda ya uzazi. Hapa ni lenge hasa shabaha kwa watu wa mzunguko wa siku 28-30. Mara nyingi mzunguko wa wanawake hutofautiana sana ni kati ya siku 21-30. Maelekezo haya yatakuwa ya wanawake wenye mizunguko kati ya siku 28-30. Hesabu yako ni tangu ulipoingia hedhini. Msikaribiane siku ya 11 hadi ya 18 hilo ni juma la hatari. Ni siku ya 11 tangu ulioingia hedhini. Hapo mimba haitokei kwa siku zote zilizobaki. Siku ya pili baada ya hedhi ambayo ni ya tano au ya sita au kwa kauli nyepesi mara tu umalizapo siku zako wewe ni salama hadi kufikia siku ya kumi tangu hedhi, ndipo hatari inaanza. Na baada ya juma la hatari hilo siku ya 18 mko huru hadi siku ya kuanza tena hedhi.
Limau/Ndimu; Kunywa juice ya limao nne hadi tano siku ya kumi na moja tangu uingie hedhi. Ile acid hairuhusu mbegu za kiume kulifikia yai, hivyo zinafia njiani. Citric acid ya ndimu: Kijiko kimoja cha chai kwa glasi moja la maji kunywa. Mbegu ya embe: Ponda mbengu ya embe iwe uji,nusu saa kabla ya tendo la ndoa tiakijiko kimoja cha huo uji katika uzazi. Kisha osha kabla tu ya tendo, na kuweka tena kijiko baada ya tendo. >>>>>>>>>>>>>>>

>>>>>>> Next Page