Antipa Natural Therapies Centre ni kituo cha huduma ya tiba asili na tiba mbadala.Muone Dr.Kibona kwa ushauri na TibaMimea kwa ajili ya magonjwa ya Wanawake
A. FANGAS Dalili: Mwasho katika via vya uzazi, Unyevu, Malengelenge mekundu juu ya ngozi Kucha kulika na kuwa nyeusi, kulika katikati ya vidole, koo kuwasha, Uke kuwasha na Uume pia, Uke kutua uchafu au ute ute wa fangasi, pia huitwa yest au mold na kadhalika. Vyanzo:Washambuliwaji wakubwa ni wale wanaoishi katika ukanda wa joto, wanaoishi karibu na madampo ya takataka, waliotumia sana dawa kali za mahospitalini za viuavijasumu (antibiotic), wasio na mpangilio mzuri wa kula,wanene, wenye kisukari na wale wanaotumia dawa za majira, wanaotumia dawa za majira, na wanaoshirikiana vitu vya bafuni, viatu na vinyoleo..
Tibaza awali: Epuka sana kuotama katika kila choo utakayoiona kuwa mazingira yake si safi. Epuka kushirikiana vitu vya bafuni Tiba za miche
Pima gram 10 za unga wa majani yake uyatie katika lita moja na nusu yaji , chemsha dakika 5 au kuyatia katika maji moto sana. Doz: Wakubwa nusu glasi x 3 Wadogo robo glasi x3 Wachanga na wajawazito DOZI
Doz: Wakubwa nusu glasi x 3 Wadogo robo glasi x3 Wachanga na wajawazito Malimao kamua juisi ya malimao na kuitumia kama ilivyoelezwa katika Karibu Eden vol 1. Olivus: Dawa nyingine ninayotengeneza kutokana na mti wa Mzeituni maalumu kwa ajili ya magonjwa mazito ikiwemo fangas , candida na yeast. Uliza Antipa dawa hiyo.
B. CANDIDIANSIS
ni aina ya fangasi, pia huitwa Candida, Yeast Infection, Chronic fatigue syndrome, Thrush DALILI ZAKE:
Uchovu, gesi, kichwa kuuma, harufu mbaya, kufunaha choo, usagaji wa chakula, harufu mbaya, matezi ya koo, ngiri ya tumbo (hiatal), upungufu wa damu, akili kuvurugika shida za hedhi n.k.
VYANZO VYAKE:
Candida albicans, aina ya utando salama ulio ndani ya utumbo wa “intestine”, wa ‘saprophyte’. Pia upo mdomoni, kooni na katika via vya uzazi. Viungo hivi huwa adui pakiingia mashindano, wakati bacteria salama wa tumboni wanapouawa na matumizi ya muda mrefu ya madawa makali ya ‘viuavijasumu’ (antibiotics) Hali hii huongeza sana candida. Hii ni ‘yeast’ husababishwa na kundi moja la yeast linafanana na uyoga la ‘candida’. Candida au yeast huishi katika sehemu zenye unyevu na laini za mwili kama mdomoni na ukeni.
Vaginal Candidiansis, Yeast Vaginitis
DALILI ZAKE: Maumivu ukeni, utepetepe, kuchoma choma, muwako wa moto, maumivu wakati wa kuingiliwa na mwanamme, na wakati wa haja ndogo. VYANZO VYAKE:
Ni maambukizo ya ukeni. Kuna aina kama nne hivi:
  YEAST VAGINITIS:
 1. Pia huitwa monilia au cand-. Huzalishwa na C- abicans.
 2. Inapatikana sana kwa wote wanaotumia dawa za antibaiotiki, uzazi wa majira, na waio katika matumizi ya dawa za kisasa kwa muda mrefu
 3. Pia huletwa na hitilafu ya viwango ukeni kwa kutumia maji ya bomba, mabeseni makuu ya bafuni hayo huchangia candida kuongezeka ukeni.
 4. Uchafu unaanza kutoka ukeni kwa wakati, wa njano mzito, mara mweupe kama mgando na kuleta maumivu ya hapa na pale.
  • TRICHOMONIANSIS:
  • Husababishwa na Trichomoniansis vaginalis.
  • Ni aina ya protozoa aliye ka potashi (alkaline),
  • Huyu huhama, hivyo wote watibiwe.
  • Maana kwa wanaume hatoi alama yoyote
  • Kwa wanawake hutokwa na ute mzito wa kijani nyeupe, mara njano na harufu.
  • Hucomachoma, huunguza na kuleta wekundu juu ya ngozi.
  • Bakteria huyu yeye hutokeza ute au uchafu wakati wa kuingiliwa ama kujamiiana.
   1. ATROPHIC VAGINITIS:
   2. Hii hutokea sana kwa wanawake waliokoma hedhi na wale ambao ovari zao zimeondolea.
   3. Hii huchoma choma, maumivu saa ya kuingiliwa na kutokwa na ute wa maji maji membamba wakati Fulani yamechangamana na damu.
   MENGINE yanayochangia kandida ya ukeni ni: Minyoo ya tumboni, Upngufu wa vitamin C, kisukari na mavazi yanayo bana sana via, na ngono mfululizo Pia Mimba husababisha maana hupunguza acidi na kutia alkaline. Nguo za ndani zilizobana sana “tight-fitting” zinakosesha hewa hapo na kusababisha tatizo la kandida. Viwango vya ukeni PH ni acid chochote kinachoweza kuivuruga huleta tatizo hili. Vyanzo vikuu ni: (experts). Ujauzito, dawa za antibaiotiki, kisukari,na dawa za uzazi wa mpango.
   TIBA ASILIA Tiba za miche Mzeituni bikira wa ziada: Pima gram 10 za unga wa majani yake uyatie katika lita moja na nusu yaji , chemsha dakika 5 au kuyatia katika maji moto sana. Doz: Wakubwa nusu glasi x 3 Wadogo robo glasi x3 Wachanga na wajawazito DOZI Doz: Wakubwa nusu glasi x 3 Wadogo robo glasi x3 Wachanga na wajawazito Aloe vera (mshubiri) Mshubiri huongeza ubora wa viwango vya usawa vya asidi PH. Candida haiwezi kukua katika eneo lililo na asidi ya usawa kama tulivyotaja hapo juu.Chuja kupande cha sentmita 6 hadi8 na kuinywa kila siku. Fenugreek na Thyme changanya pamoja tia maji na kupata chai yake kama dawa zingine. Dozi: Chota vijiko viwili vikubwa tia katika vikombe vitatu vya maji, chemsha hadi ipungue na kubakia vikombe viwili tu. Kunywa kimoja asubuhi na kimoja jioni
   Dawa kutoka ANTIPA za fangas, kandida na yeast ni: OLIVUS dawa ya kumaliza fangas haraka. Fighter Plus tonic herbal. Inaangamiza na kumaliza kabisa aina zote za candida. Olivus ni ant-fungal ant-bacteria na ant-viral Sage na miche mingine iliyopo katika kitabu cha “KARIBU EDEN” Na Aloe Vera


   >>>>>>> Next PageWelcome to Antipa Natural Therapies Herbal - Dsm - All rights Reserved P.O. Box 20669 , Dar Es Salaam , Tanzania -
Tel: +255 754 464525 - Mob: +255 653 464525 Email: info@antipaherbals.co.tz -
Design by Sam Mujinja E-mail mujinja@hotmail.com , Mob +255 713 451 713